LATEST ARTICLES

Tetesi : Real Madrid Wakubali kulipa Paundi 100m kwa ajii ya kumsajili De Gea.

Matajiri wa Hispania Real Madrid wamekubali Kutoa Paundi 100m ili kumsajili Golikipa wa Manchester United David De gea, Msimu ujao. Wakala wa Golikipa huyo ametumia takribani wiki nzima kwenye mazungumuzo ya usajili huo,

TFF yatupilia mbali Rufaa ya Wambura.

Kamati Ya Rufaa Maadili Ya TFF baada ya kupitia rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo,Michael Richard Wambura imetupilia madai yake yote na adhabu yake itaendelea kama ilivyoamuliwa na  Kamati ya Maadili ya TFF kwa kufungia kutojihusisha...

Fiorentina Fc kuuita uwanja Centro Sportivo Davide Astori

Klabu ya Fiorentina Nchini Italia imetangaza kuuita uwanja wao wa jina la liye kuwa Naodha wa timu hiyo Davide Astori , kama heshima kwake baada ya kufariki Dunia. Davide Astorialifariki Dunia March 4,2018 katika jiji la Udine,Italia. Ameacha Mke na mtoto mwenye miaka miwili,Ni mchezaji aliye tokea kwenye timu ya vijana ya Ac Milan kabla ya kujiunga na Cagliari mwaka 2008, ambapo alitumika kwa miaka 8.  Baadae alienda kwa mkopo timu ya Roma,na baadae Fiorentina ambapo alipata mkataba baada ya miaka miwili, na kutumika kama Naodha wa timu hiyo.  Mwenye kiti wa timu ya Fiorentina amewaambia wanahabari wa Italia kuwa uwanja wao waMazoezi watauita "Centro Sportivo Davide Astori"  Astori alikuwa anavaa jezi namba 13, akiwa timu ya Fiorentina, Mashabiki wengi wa ligi ya Serie A walishiriki katika Mazishi yake March 8, 2018. 

CAF hatua ya Makundi hizi hapa ..

Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane. Droo hiyo itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018.

Stars kutimka leo

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars, leo saa tisa alasiri kinatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Algeria kwa mchezo wa kirafiki ambao utapigwa siku ya Machi 22, mwaka huu. Stars itaondoka na nyota wake kadhaa huku wengine wataungana na kikosi hicho...

FT: Yanga 3 – 1 Stand Utd

FT 3 - 1 Na Mpira ni Mapumzikooooo. dakika mbili zinaongezwa ; 45' Chirwa anapata nafasi anajaribu, lakini anakuwa ameotea 44' Bigiribana wa stand utd anapiga shuti kali na kugonga mwamba 40' Chirwa anaweka Cross ya mchinjo, alakini Chirwa anachelewa 37'Chirwa anapata nafasi , Beki anakaa vizuri na...

FT: Arsenal 3 – 0 Watford

  60' 3 - 0 62' Deeney's attempt was poor and Cech kept it out brilliantly. A huge moment in the match! P. Čech Penalty Save 62' SAVE! Petr Cech has FINALLY saved a penalty for Arsenal! Deeney steps-up and tries to beat Cech at his left side but...

Muzunguko wa 20 wa Ligi kuu Bara VPL

Kama kawaida Ligi kuu Bara , maarufu kama Vodacome Premier Ligue itaendelea Mwezi huu Machi, ikiwa ni Mzunguko wa 20, ambapo ligi bado haijaweza kutabiri nani bingwa kwa tofauti ya point licha ya Vinara wa ligi hiyo Simba Sc...

FT: Ndanda 1 : 2 Yanga

MPIRA UMEKWISHAAAA DAKIKA TATU ZA NYONGEZA Dk 90, Yanga wanapeleka shambulizi ndani ya lango la Ndanda, lakini Ngassa anaokoa Dk 88, kona inachongwa na Mwashiuya lakini mwamuzi anasema ni faulo Dk 88, Mhilu anaingia vizuri kabisa hapa, mpira wake wa krosi unaondolewa na...