STRAIKA aliyepoteza namba yake Taifa Stars, kutokana na kutokuwa na timu, Thomas Ulimwengu amepata nafasi ya kujinadi katika kituo cha Atlanta kilichopo nchini Italia ambacho hutumika na mastaa wakubwa kufanya mazoezi mara baada ya kutoka katika majeruhi kwa lengo la kusaka timu. Ulimwengu aliachana na klabu ya AFC Eskilistuna ya nchini Sweden aliyokuwa akiitumikia awali kabla ya kupata majeraha na kufanyiwa upasuaji uliomlazimu kukaa nje kwa muda kuanzia mwishoni mwa mwaka jana. Meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo aliiambia Spoti Xtra

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here