YANGA tayari imeshatinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuzipiga Mlandege FC, JKU pamoja na Taifa ya Jan’gombe na kama soka ikitenda miujiza yake watani wa jadi watakutana Jumatano. Ushindi mfululizo, umewapa kiburi baadhi ya wachezaji wa Yang ambao wamedai wanatamani kukutana na Mnyama Simba ambaye anasifiwa sana kwa sasa kutokana na mizuka ya Kocha Masoud Djuma na nahodha wake, John Bocco. Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ambaye leo huenda akaanza kuonekana uwanjani baada ya kupona, ameliambia Spoti Xtra kuwa anatamani wakutane na Simba. “Wakati tunakuja huku watu wengi walitudharau na kuona kuwa hatuwezi kufanya lolote kwa sababu tulitoka kufungwa

SHARE
Next articleAzam yaitibulia Simba

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here