Yanga wakirejea

BAADA ya jana Klabu ya Yanga kuondoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu fainali ya kwanza, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo wamewasili Dar es Salaam leo kutoka Mjinni Unguja visiwani Zanzibar  huku wakiwa na sura za huzuni.

Yanga abayo jana ilicheza chezo wa Nusu Fainali na URA huku ikiondolewa kwa njia ya penaliti 5-4 baada ya nyota wao raia wa Zambia,Obrey Chirwa kukosa penarti ya wisho na kuwafanya waungane na wapinzani wao Simba SC, ambao wao waliondolewa juzi Jumatatu na Azam FC, baada ya kuchapwa bao 1-0.

Chirwa akiwa amepewa ulinzi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here