Kumpoteza Alexis Sanchez ni kitu kimoja lakini kumuachia tena na Mesut Ozil, haitakubalika.

Sanchez baada ya kujiunga na Man United amemwaga mboga baada ya kuweka wazi kwamba aliondoka kwa kuona kuwa Arsenal haiwezi kumsaidia..

Kwa mujibu wa magazeti ya Ulaya, Ozil alianza mazungumzo ya mkataba na Arsenal mwezi Decemba lakini bado hawaafikiana.

London, England

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here