Kama kawaida Ligi kuu Bara , maarufu kama Vodacome Premier Ligue itaendelea Mwezi huu Machi, ikiwa ni Mzunguko wa 20, ambapo ligi bado haijaweza kutabiri nani bingwa kwa tofauti ya point licha ya Vinara wa ligi hiyo Simba Sc kuwa kifua mbele kwa point 5 dhidi ya wahasimu wao wakubwa Young Africans SC . Spotixtra ina kuletea Ratiba nzima ya Muzunguko wa 20 Wa ligi hiyo …

Ratiba Nzima ya VPL muzunguko wa 20
Tarehe Mechi Uwanja Muda status
Machi 2, 2018 Simba sc 3 : 3 Stand United Uwanja wa Taifa Dar saa 10 jioni
Machi 3, 2018 Njombe Mji 2 : 1 Ruvu Shooting Uwanja wa Sabasaba saa 8 mchana
Machi 3, 2018 Kagera Sugar 2 : 1 Majimaji Uwanja wa Kaitaba saa 10 Jioni
Machi 3, 2018 Tanzania Prisons 1 : 0 Mbao FC Sokoine Mbeya saa 10 jioni
Machi 3, 2018 Mtibwa Vs Young SC Jamhuri Stadium saa 10 Jioni POSTPONED
Machi 3, 2018 Azam FC 1 : 0 Singida United Azam Complex saa 1 jioni
Machi 4, 2018 Mbeya City FC 0 : 0 Mwadui FC Sokoine Mbeya saa 8 mchana
Machi 4, 2018 Lipuli FC 2 : 1 Ndanda FC Uwanja wa Samora saa 10 jioni

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here