FT
3
1

Na Mpira ni Mapumzikooooo.
dakika mbili zinaongezwa ;
45′ Chirwa anapata nafasi anajaribu, lakini anakuwa ameotea

44′ Bigiribana wa stand utd anapiga shuti kali na kugonga mwamba

40′ Chirwa anaweka Cross ya mchinjo, alakini Chirwa anachelewa

37’Chirwa anapata nafasi , Beki anakaa vizuri na kumzuia

35′ Salome self wa stand utd anapata nafasi peke yake na kutokuwa makini ili kupa goli

24′ Mashambulizi yanaenda upande wa yanga , Kevin yondani anakaa vizuri

22′ Rafael Daudi anamiliki mpira katikati ya uwanja.

20′ Yanga wanashambulia, Obrey Chirwa anapiga krosi lakini wanashindwa kuitumia vizuri.

18′ Ajibu anapiga kona fupi lakini Stand wanaokoa.

17′ Yanga wanapata kona.

13′ Stand wamepoteza kujiamini na Yanga wanaendelea kumiliki mpira.

Ibrahim Ajibu anaipatia Yanga bao la pili, akipiga shuti kutoka upande wa pembeni mwa uwanja.

11′ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

10′ Yanga wanapigiana pasi kwa wingi.

8′ Yanga wapo mbele kwa bao 1-0 na wanamiliki mpira.

Yanga wanapata goli la kwanza kupitia kwa Yusuf Mhilu, anapiga krosi kutoka pembeni ya uwanja na kumgonga beki inaingia moja kwa moja golini.

6′ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Yanga

4′ Juma Abdul Anapandisha shambulizi, mpira uantoka nje.

2’ Yanga wanafika langoni mwa Stand, mpira unatoka inakuwa goal kick

1′ Mchezo umeanza.

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here