Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane.

Droo hiyo itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here