CAF

CAF hatua ya Makundi hizi hapa ..

Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane. Droo hiyo itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018.

Updates && Live

MOST COMMENTED

Kumbe Giroud si chaguo la Conte

London, England KWA mujibu wa beki wa zamani wa Liverpool, Steve Nicol Kocha wa Chelsea Antonio Conte hakuwa na mpango wa kumsainisha Olivier Giroud kutoka...

HOT NEWS