Dondoo

Tetesi : Real Madrid Wakubali kulipa Paundi 100m kwa ajii ya kumsajili De Gea.

Matajiri wa Hispania Real Madrid wamekubali Kutoa Paundi 100m ili kumsajili Golikipa wa Manchester United David De gea, Msimu ujao. Wakala wa Golikipa huyo ametumia takribani wiki nzima kwenye mazungumuzo ya usajili huo,

Degea Kuongeza Mkataba Man U.

Taarifa zinaeleza kuwa Golikipa namba moja wa timu ya Taifa ya Spain na Manchester United, David de Gea (27) anatajwa kuongeza mkataba mwingine wa kuitumikia timu hiyo, hivyo ataondoa uvumi mwingine wa kuelekea Real Madrid. Mabingwa mara mbili mfululizo wa...

Kumbe Giroud si chaguo la Conte

London, England KWA mujibu wa beki wa zamani wa Liverpool, Steve Nicol Kocha wa Chelsea Antonio Conte hakuwa na mpango wa kumsainisha Olivier Giroud kutoka Arsenal. Akizungumza kwenye kituo cha televisheni cha ESPN FC mchambuzi huyo alidai kwamba Oliver Giroud hakuwa...

Riyad Mahrez to Liverpool: Leicester star’s speaks out to join Liverpool

That is according to African football expert Gary Al-Smith, who has spoken to the entourage of the Algeria star. Mahrez has been linked with a move to Liverpool after they reached an agreement with Barcelona to sell Philippe Coutinho for £142million. Replacements for...

Updates && Live

MOST COMMENTED

FT: Yanga 3 – 1 Stand Utd

FT 3 - 1 Na Mpira ni Mapumzikooooo. dakika mbili zinaongezwa ; 45' Chirwa anapata nafasi anajaribu, lakini anakuwa ameotea 44' Bigiribana wa stand utd anapiga shuti kali na kugonga mwamba 40'...

HOT NEWS