Football

Namba 7 Jezi Ngumu Kuliko Zote Man United

ALEXIS Sanchez ni mali ya Manchester United, hatua hiyo imekuja baada ya mvutano wa muda mrefu juu ya wapi ambapo mchezaji huyo ataelekea, kwani awali ilionekana safari yake ni kutua Manchester City. Unapovaa jezi namba 10 ndani ya Barcelona au...

Arsenal Wang’ang’ana Kumbakiza Ozil

Kumpoteza Alexis Sanchez ni kitu kimoja lakini kumuachia tena na Mesut Ozil, haitakubalika. Sanchez baada ya kujiunga na Man United amemwaga mboga baada ya kuweka wazi kwamba aliondoka kwa kuona kuwa Arsenal haiwezi kumsaidia.. Kwa mujibu wa magazeti ya Ulaya, Ozil...

CARABAO CUP: Arsenal 2 Chelsea 1,

Katika Mechi kombe la FA England, iliyo chezwa usiku wa 24-01-2018, ikiwakutanisha vigogo wa England Chelsea na Arsenal, ambapo ulikuwa ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo wa kwanza kutoka bila kufungana, Arsenal imeibuka na ushindi wa magoli 2...

MECHI YA MWADUI VS NJOMBE MJI YASOGEZWA MBELE KUPISHA MAZISHI YA KOCHA

MCHEZO wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Mwadui FC ya Shinyanga na Njombe Mji ya Njombe uliokuwa ufanyike Ijumaa Januari 26, 2018 umesogezwa mbele kwa siku moja. Kwa mujibu wa TFF, mchezo huo sasa utachezwa Jumamosi, Januari 27, 2018...

YANGA, AZAM FC KUKIPIGA SAA KUMI JIONI JUMAMOSI CHAMAZI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Azam FC na Yanga utachezwa saa 10 jioni Azam Complex Chamazi badala ya saa 1:00 usiku kama ulivyokuwa umepangwa awali. Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema mchezo huo...

Yanga na Azam Kuchezwa Usiku

  MECHI ya Azam na Yanga itapigwa Jumamosi saa 1 usiku, ndani ya Azam Complex. Mara ya mwisho Yanga kucheza mechi ya Ligi kwenye Uwanja huo ilikuwa msimu wa 2011 dhidi ya African Lyon ikiwa chini ya Kocha Sam Timbe. Yanga haikuwahi...

WAKATI IKIJIANDAA KUMUUZA SANCHEZ, ARSENAL YAPATA KIPIGO EPL, NI 2-1 KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Bournemouth vs Arsenal Bournemouth: Begovic, Francis, Steve Cook, Ake, Adam Smith, Lewis Cook, Gosling, Daniels, Ibe, Fraser, Callum Wilson Subs:Boruc, Surman, Pugh, Arter, Afobe, Mousset, Simpson Arsenal: Cech, Chambers, Mustafi, Holding, Bellerin, Xhaka, Wilshere, Maitland-Niles, Iwobi, Welbeck, Lacazette Subs: Mertesacker, Ramsey, Ospina, Walcott, Kolasinac, Elneny, Nketiah. Referee: Kevin Friend (Leicestershire)

NASHANGAZWA NAMNA TUSIVYOMHESHIMU JOHN BOCCO MWENYE MAFANIKIO RUNDO ZAIDI YA WAGENI UNAOWAJUA

MSIMU huu, mshambuliaji John Raphael Bocco amejiunga na Simba akitokea Azam FC. Uamuzi wake ulielezwa kubeba mambo kadhaa kama mabadiliko, changamoto mpya na kadhalika. Lakini kikubwa tulielezwa Bocco hakutaka dharau kwa kuwa Azam FC ilikuwa imeingia katika utaratibu mpya wa...

Updates && Live

MOST COMMENTED

Pogba ndiyo tiba ya Mourinho

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amekuna kichwa na amepata dawa ya matatizo ya timu hiyo, ambayo katika siku za karibuni ilionekana kama imepoteza mwelekeo....

HOT NEWS