Majuu

Fiorentina Fc kuuita uwanja Centro Sportivo Davide Astori

Klabu ya Fiorentina Nchini Italia imetangaza kuuita uwanja wao wa jina la liye kuwa Naodha wa timu hiyo Davide Astori , kama heshima kwake baada ya kufariki Dunia. Davide Astorialifariki Dunia March 4,2018 katika jiji la Udine,Italia. Ameacha Mke na mtoto mwenye miaka miwili,Ni mchezaji aliye tokea kwenye timu ya vijana ya Ac Milan kabla ya kujiunga na Cagliari mwaka 2008, ambapo alitumika kwa miaka 8.  Baadae alienda kwa mkopo timu ya Roma,na baadae Fiorentina ambapo alipata mkataba baada ya miaka miwili, na kutumika kama Naodha wa timu hiyo.  Mwenye kiti wa timu ya Fiorentina amewaambia wanahabari wa Italia kuwa uwanja wao waMazoezi watauita "Centro Sportivo Davide Astori"  Astori alikuwa anavaa jezi namba 13, akiwa timu ya Fiorentina, Mashabiki wengi wa ligi ya Serie A walishiriki katika Mazishi yake March 8, 2018. 

Zidane akubali lawama zote

ZIDANE anajiandaa kuivaa PSG kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini amesisitiza kwamba lawama zote ni juu yake. "Nilikubali uamuzi wa kuichukua hii timu kwahiyo chochote kile kinachotokea napaswa kuwajibika nacho,"alisema Zidane akijiandaa kwa mchezo wa kesho Jumatano. "Tunahitaji kushinda na kila...

Conte awashtua mashabiki Chelsea

Huenda alikuwa anazuga, labda. Lakini Antonio Conte ametamka kauli ambayo mashabiki wa Chelsea hawatapenda kuisikia. Ametamka kwamba ni ngumu sana kufuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao ingawa Jumatatu usiku waliishinda West Brom mabao 3-0 pale Stamford Bridge na kurejea nne...

MAN U WAPUNGUZWA KASI LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUFUNGWA NA TOTTENHAM 2 –...

Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino amewasifu wachezaji  kwa kuanza mechi kwa moto mkali baada ya Christian Eriksen kufunga bao sekunde 11 pekee baada ya mechi kuanza, na kufanikiwa kulaza Manchester United 2-0 uwanjani Wembley. Bao la pili Tottenham Hotspur (4-2-3-1): Lloris...

CHELSEA YAKUBALI KIBANO CHA BAO 3-0 KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu. Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi...

CARABAO CUP: Arsenal 2 Chelsea 1,

Katika Mechi kombe la FA England, iliyo chezwa usiku wa 24-01-2018, ikiwakutanisha vigogo wa England Chelsea na Arsenal, ambapo ulikuwa ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo wa kwanza kutoka bila kufungana, Arsenal imeibuka na ushindi wa magoli 2...

Updates && Live

MOST COMMENTED

YANGA, AZAM FC KUKIPIGA SAA KUMI JIONI JUMAMOSI CHAMAZI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Azam FC na Yanga utachezwa saa 10 jioni Azam Complex Chamazi badala ya saa 1:00...

Azam yaitibulia Simba

HOT NEWS