Ratiba

CAF hatua ya Makundi hizi hapa ..

Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane. Droo hiyo itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018.

Muzunguko wa 20 wa Ligi kuu Bara VPL

Kama kawaida Ligi kuu Bara , maarufu kama Vodacome Premier Ligue itaendelea Mwezi huu Machi, ikiwa ni Mzunguko wa 20, ambapo ligi bado haijaweza kutabiri nani bingwa kwa tofauti ya point licha ya Vinara wa ligi hiyo Simba Sc...

Updates && Live

MOST COMMENTED

Kipa Yanga Azikwa Burundi

KIPA wa zamani wa Yanga, Ismail Suma amezikwa nchini Burundi baada ya kukosa msaada wa kiuchumi kumrejesha nchini. Habari za awali zilizopatikana Jumanne asubuhi zilisema...

HOT NEWS