Tanzania

TFF yatupilia mbali Rufaa ya Wambura.

Kamati Ya Rufaa Maadili Ya TFF baada ya kupitia rufaa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo,Michael Richard Wambura imetupilia madai yake yote na adhabu yake itaendelea kama ilivyoamuliwa na  Kamati ya Maadili ya TFF kwa kufungia kutojihusisha...

Stars kutimka leo

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars, leo saa tisa alasiri kinatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Algeria kwa mchezo wa kirafiki ambao utapigwa siku ya Machi 22, mwaka huu. Stars itaondoka na nyota wake kadhaa huku wengine wataungana na kikosi hicho...

FT: Ndanda 1 : 2 Yanga

MPIRA UMEKWISHAAAA DAKIKA TATU ZA NYONGEZA Dk 90, Yanga wanapeleka shambulizi ndani ya lango la Ndanda, lakini Ngassa anaokoa Dk 88, kona inachongwa na Mwashiuya lakini mwamuzi anasema ni faulo Dk 88, Mhilu anaingia vizuri kabisa hapa, mpira wake wa krosi unaondolewa na...

Kombe la Shirikisho la Azam kuendelea Wiki hii .

Hatua ya mzunguko wa Nne(4) wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam inaendelea Jumamosi Februari 24, 2018 kwa michezo miwili. Singida United watakuwa Uwanja wa Namfua Mjini Singida kucheza na Polisi Tanzania saa 10 jioni na mchezo mwingine utakaohitimisha...

SIMBA KUIFUATA MWADUI FC KWA NDEGE

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Simba wanatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam, kesho alfajiri na ndege ya Shirika la ACTL kwenda Mwanza kisha Shinyanga. Kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC ambao utapigwa siku ya Alhamisi kwenye Uwanja...

JOHN BOCCO AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI JANUARI VPL

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara. Bocco ambaye pia ni nahodha wa Simba alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, mshambuliaji Emmanuel Okwi wa Simba na...

Droo ya 16 bora Kombe la FA 2018 : Yanga yaikosa Buseresere FA

Droo ya 16 ya Kombe la FA imechezeshwa leo Alhamisi Jijini Dar es Salaam huku Yanga ikipangwa na Majimaji ya Songea na Azam na KMC. Mechi hizo zitachezwa kati ya Februari 22 mpaka 25 kwenye Viwanja mbalimbali. Stand Utd imepangwa...

FT : KUTOKA UWANJA WA TAIFA; SIMBA 1-0 AZAM FC

MPIRA UMEKWISHAAAAAA DAKIKA 2 ZA NYONGEZA Dk 90 Agyei anaingia vizuri, mpira unachukuliwa vizuri kabisa na Mlipili ndani ya 18, Azam wanasema faulo, mwamuzi anasema twende Dk 88 krosi nzuri ndani ya lango la Simba, Manula anaokoa vizuri Dk 86, Azam wanapata kona,...

Huyu Aubameyang Ni Moto, Sanchez Naye Aanza Kutupia

Staa mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang.   STAA mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang jana alianza mchezo wake wa kwanza kwenye timu hiyo na kufanikiwa kuifungia bao moja kwenye ushindi wa 5-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England.   Aubameyang amejiunga...

Updates && Live

MOST COMMENTED

YANGA, AZAM FC KUKIPIGA SAA KUMI JIONI JUMAMOSI CHAMAZI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Azam FC na Yanga utachezwa saa 10 jioni Azam Complex Chamazi badala ya saa 1:00...

HOT NEWS