Usajili

Sanchez: United Ni Timu Kubwa Duniani

MANCHESTER United, juzi, ilimsajili mshambuliaji Alex­ies Sanchez ambapo kwenye mahojiano yake ya kwanza amesema kuwa amejiunga na timu kubwa dun­iani. Sanchez amejiunga na Manches­ter United baada ya staa wa timu hiyo Henrikh Mkhitaryan ku­jiunga na Arsenal. Sanchez alikubali ku­saini mkataba wa...

Mkhitaryan: Ndoto Yangu Imetimia

KIUNGO mpya wa Arsenal, Henrikh Mkhitaryan, amese­ma kujiunga na timu hiyo ni ndoto yake imetimia. Mkhitaryan alijiunga na Arse­nal, juzi akitokea Manchester United huku staa wa Arsenal Alexies Sanchez, akijiunga na United.   Usajili huu haukuhusisha fed­ha za mauzo kwani yalikuwa ni...

Mkhitaryan Huyu Hapa, Rasmi Ndani Ya Arsenal

RASMI Henrikh Mkhitaryan ametua Arsenal kama sehemu ya uhamisho wa mshambuliaji Alexis Sanchez kwenda Manchester United. Mkhitaryan amekabidhiwa jezi ya Arsenal na Sanchez akakabidhiwa jezi ya Man United United huku wakibadilishana miji kutoka London kwenda Manchester.  Uhamisho wa  Mkhitaryan kwenye London unaonekana...

Sanchez Rasmi Ndani ya Man U, Mashabiki Meno Nje

Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United. Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na...

Deal Done, Sanchez Mali Ya Man United, Mkhitaryan Mali Ya Arsenal

Alexis Sanchez anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya muda wowote kuanzia sasa ndani ya Jiji la Manchester ili kukamilisha dili lake la kujiunga na Manchester United. Vipimo hivyo vitafanyika kwenye viwanja vya mazoezi ya Carrington ili kukamilisha uhamisho wa mchezaji huyo...

Updates && Live

MOST COMMENTED

Tetesi : Real Madrid Wakubali kulipa Paundi 100m kwa ajii ya...

Matajiri wa Hispania Real Madrid wamekubali Kutoa Paundi 100m ili kumsajili Golikipa wa Manchester United David De gea, Msimu ujao. Wakala wa Golikipa huyo...

HOT NEWS