Kombe la Shirikisho la Azam kuendelea Wiki hii .

Hatua ya mzunguko wa Nne(4) wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam inaendelea Jumamosi Februari 24, 2018 kwa michezo miwili. Singida United watakuwa Uwanja wa Namfua Mjini Singida kucheza na Polisi Tanzania saa 10 jioni na mchezo mwingine utakaohitimisha...

Degea Kuongeza Mkataba Man U.

Taarifa zinaeleza kuwa Golikipa namba moja wa timu ya Taifa ya Spain na Manchester United, David de Gea (27) anatajwa kuongeza mkataba mwingine wa kuitumikia timu hiyo, hivyo ataondoa uvumi mwingine wa kuelekea Real Madrid. Mabingwa mara mbili mfululizo wa...

KIKOSI CHA SIMBA SC DHIDI YA MWADUI FC FEB 15, 2018 VPL

1. AISHI MANULA - 28 2. SHOMARI KAPOMBE- 12 3. MOHAMED HUSSEIN - 15 4. JUUKO MURSHID- 06 5. YUSUF MILIPILI- 05 6. ERASTO NYONI- 18 7. SHIZA KICHUYA- 25 8. SAID HAMIS- 13 9. EMMANUEL OKWI-07 10. JOHN BOCCO (C)- 22 11. JAMES KOTEI- 03 COACH: Perre Lechantre FORMATION: 3-5-2

Zidane akubali lawama zote

ZIDANE anajiandaa kuivaa PSG kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini amesisitiza kwamba lawama zote ni juu yake. "Nilikubali uamuzi wa kuichukua hii timu kwahiyo chochote kile kinachotokea napaswa kuwajibika nacho,"alisema Zidane akijiandaa kwa mchezo wa kesho Jumatano. "Tunahitaji kushinda na kila...

Conte awashtua mashabiki Chelsea

Huenda alikuwa anazuga, labda. Lakini Antonio Conte ametamka kauli ambayo mashabiki wa Chelsea hawatapenda kuisikia. Ametamka kwamba ni ngumu sana kufuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao ingawa Jumatatu usiku waliishinda West Brom mabao 3-0 pale Stamford Bridge na kurejea nne...

SIMBA KUIFUATA MWADUI FC KWA NDEGE

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Simba wanatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam, kesho alfajiri na ndege ya Shirika la ACTL kwenda Mwanza kisha Shinyanga. Kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC ambao utapigwa siku ya Alhamisi kwenye Uwanja...

JOHN BOCCO AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI JANUARI VPL

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara. Bocco ambaye pia ni nahodha wa Simba alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, mshambuliaji Emmanuel Okwi wa Simba na...

Droo ya 16 bora Kombe la FA 2018 : Yanga yaikosa Buseresere FA

Droo ya 16 ya Kombe la FA imechezeshwa leo Alhamisi Jijini Dar es Salaam huku Yanga ikipangwa na Majimaji ya Songea na Azam na KMC. Mechi hizo zitachezwa kati ya Februari 22 mpaka 25 kwenye Viwanja mbalimbali. Stand Utd imepangwa...

Kumbe Giroud si chaguo la Conte

London, England KWA mujibu wa beki wa zamani wa Liverpool, Steve Nicol Kocha wa Chelsea Antonio Conte hakuwa na mpango wa kumsainisha Olivier Giroud kutoka Arsenal. Akizungumza kwenye kituo cha televisheni cha ESPN FC mchambuzi huyo alidai kwamba Oliver Giroud hakuwa...

FT : KUTOKA UWANJA WA TAIFA; SIMBA 1-0 AZAM FC

MPIRA UMEKWISHAAAAAA DAKIKA 2 ZA NYONGEZA Dk 90 Agyei anaingia vizuri, mpira unachukuliwa vizuri kabisa na Mlipili ndani ya 18, Azam wanasema faulo, mwamuzi anasema twende Dk 88 krosi nzuri ndani ya lango la Simba, Manula anaokoa vizuri Dk 86, Azam wanapata kona,...