Spoti Xtra Lazidi Kuchanja Mbuga za Burudani Jumapili

KAMA kawaida ya siku za Jumapili, gazeti maarufu la Spoti Xtra liliendelea kuchangamkiwa na wananchi kutokana na habari zake mbalimbali za michezo na burudani ambapo timu nzima ya gazeti hilo ilipita Magomeni, Tabata, Segerea, Ukonga, Gongo la Mboto na...

Huyu Aubameyang Ni Moto, Sanchez Naye Aanza Kutupia

Staa mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang.   STAA mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang jana alianza mchezo wake wa kwanza kwenye timu hiyo na kufanikiwa kuifungia bao moja kwenye ushindi wa 5-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England.   Aubameyang amejiunga...

MAN U WAPUNGUZWA KASI LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUFUNGWA NA TOTTENHAM 2 –...

Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino amewasifu wachezaji  kwa kuanza mechi kwa moto mkali baada ya Christian Eriksen kufunga bao sekunde 11 pekee baada ya mechi kuanza, na kufanikiwa kulaza Manchester United 2-0 uwanjani Wembley. Bao la pili Tottenham Hotspur (4-2-3-1): Lloris...

CHELSEA YAKUBALI KIBANO CHA BAO 3-0 KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu. Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi...

Watanzania Walisifia Gazeti la Michezo la Spoti Xtra

Wakazi wa Sinza jijini Dar es Salaam wakisoma gazeti la michezo la Spoti Extra la leo Jumapili. Ofisa Masoko wa Spoti Xtra, Jimmy Haroub, akimwonyesha msomaji uhondo uliomo katika gazeti la Spoti Extra leo eneo la Uwanja...

Ivo Mapunda: Manula wa Azam Sio wa Simba

KIPA wa zamani wa Yanga, Ivo Mapunda amesema kuwa kiwango kinachoonyeshwa na kipa wa Simba, Aishi Manula kwa sasa ni tofauti na alivyokuwa Azam FC, hivyo anahitaji kujiimarisha zaidi.   Manula alitua Simba mwanzoni mwa msimu huu akitokea Azam FC ambapo...

Namba 7 Jezi Ngumu Kuliko Zote Man United

ALEXIS Sanchez ni mali ya Manchester United, hatua hiyo imekuja baada ya mvutano wa muda mrefu juu ya wapi ambapo mchezaji huyo ataelekea, kwani awali ilionekana safari yake ni kutua Manchester City. Unapovaa jezi namba 10 ndani ya Barcelona au...

Simba Wanaishangilia Yanga Kesho, Majimaji Wameibakiza Simba Tu

YANGA inakwen­da kwenye Uwanja wa Chamazi kesho kuvaana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga wa Ligi Kuu Bara kwenye uwanja huo dhidi ya Azam FC na tayari baadhi ya...

Fakhi Awashangaa Mashabiki Kwa Nyoso

Mwandishi Wetu Beki wa kati wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi amewataka mashabiki wa soka nchi kuwa wastaarabu na kuachana na maneno ya kashfa kwa wachezaji ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Fakhi ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya kutokea...