WAKATI IKIJIANDAA KUMUUZA SANCHEZ, ARSENAL YAPATA KIPIGO EPL, NI 2-1 KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Bournemouth vs Arsenal Bournemouth: Begovic, Francis, Steve Cook, Ake, Adam Smith, Lewis Cook, Gosling, Daniels, Ibe, Fraser, Callum Wilson Subs:Boruc, Surman, Pugh, Arter, Afobe, Mousset, Simpson Arsenal: Cech, Chambers, Mustafi, Holding, Bellerin, Xhaka, Wilshere, Maitland-Niles, Iwobi, Welbeck, Lacazette Subs: Mertesacker, Ramsey, Ospina, Walcott, Kolasinac, Elneny, Nketiah. Referee: Kevin Friend (Leicestershire)

NASHANGAZWA NAMNA TUSIVYOMHESHIMU JOHN BOCCO MWENYE MAFANIKIO RUNDO ZAIDI YA WAGENI UNAOWAJUA

MSIMU huu, mshambuliaji John Raphael Bocco amejiunga na Simba akitokea Azam FC. Uamuzi wake ulielezwa kubeba mambo kadhaa kama mabadiliko, changamoto mpya na kadhalika. Lakini kikubwa tulielezwa Bocco hakutaka dharau kwa kuwa Azam FC ilikuwa imeingia katika utaratibu mpya wa...

YANGA WARUDI DAR, VICHWA CHINI

BAADA ya jana Klabu ya Yanga kuondoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu fainali ya kwanza, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo wamewasili Dar es Salaam leo kutoka Mjinni Unguja visiwani Zanzibar ...

Riyad Mahrez to Liverpool: Leicester star’s speaks out to join Liverpool

That is according to African football expert Gary Al-Smith, who has spoken to the entourage of the Algeria star. Mahrez has been linked with a move to Liverpool after they reached an agreement with Barcelona to sell Philippe Coutinho for £142million. Replacements for...

Conte, Alonso waweka heshima ya mwezi

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte na nyota wake Marco Alonso na Danny Drinkwater watawania tuzo za kung’ara Ligi kuu England Desemba, mwaka jana. Conte ametajwa miongoni mwa watakaogombea tuzo ya kocha bora wa mwezi. Chelsea ilifanya vizuri mwezi Desemba...

Pogba ndiyo tiba ya Mourinho

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amekuna kichwa na amepata dawa ya matatizo ya timu hiyo, ambayo katika siku za karibuni ilionekana kama imepoteza mwelekeo. Mourinho aliiongoza Manchester United kuifunga Everton 2-0 ugenini na kumaliza mwenendo mbaya timu hiyo kwenye...

Deal Done: Mbrazili Philipe Coutinho Atinga Barcelona

KLABU za Liverpool na Barcelona zimekata mzizi wa fitina baada ya kufikia muafaka wa kuuziana kiungo Mbrazili Phillipe Coutinho. Liverpool itapokea kitita cha pauni milioni 145 (sawa na Sh. 438 bilioni) kwa kumtoa kiungo huyo. Ada hiyo ya usajili...

Ulimwengu aibukia Italia

STRAIKA aliyepoteza namba yake Taifa Stars, kutokana na kutokuwa na timu, Thomas Ulimwengu amepata nafasi ya kujinadi katika kituo cha Atlanta kilichopo nchini Italia ambacho hutumika na mastaa wakubwa kufanya mazoezi mara baada ya kutoka katika majeruhi kwa lengo...

Azam yaitibulia Simba

SIMBA imejiweka katika wakati mgumu wa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya usiku wa kuamkia leo kufungwa bao 1-0 na Azam FC katika mchezo wa Kundi A uliochezwa kwenye Uwanja wa Amaan. Ushindi huo umeifanya Azam...

Yanga: Jamani tuleteeni hao Simba Jumatano

YANGA tayari imeshatinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, baada ya kuzipiga Mlandege FC, JKU pamoja na Taifa ya Jan’gombe na kama soka ikitenda miujiza yake watani wa jadi watakutana Jumatano. Ushindi mfululizo, umewapa kiburi baadhi ya wachezaji wa...